Header Ads

ad

ORODHA YA WAIGIZAJI WENYE PESA NYINGI ZAIDI DUNIANI MWAKA 2016.

Orodha ya waigizaji wenye pesa nyingi zaidi duniani mwaka 2016

1. Jerry Seinfeld – Net worth: $820 million
Jerry ni mwigizaji wa filamu nyingi za vichekesho zinazouza zaidi kutokana na kupendwa na watu wote kwenye familia.



2. Shah Rukh Khan – Net worth: $600 million 
Anaitwa Baadshah of Bollywood “The King of Bollywood”Thamani yake ni dola milioni $600. Amefanya zaidi ya filamu 75 za kihindi na filamu zingine za kimataifa,Kuna wanaoamini Khan ni mtu tajiri zaidi duniani.Ana miaka 49.




3. Tom Cruise – Net worth: $480 million
Tumemuona kwenye filamu kama Top Gun, Rain Man, Tropic Thunder, Few Good Men, Thamani yake ni dola milioni 480, ana miaka 53.


4. Tyler Perry – Net worth: $400 million
Tyler Perry ni mwigizaki,producer, director, mwandishi wa filamu na muziki, ni boyfriend wa Oprah Winfrey na thamani yake ni dola milioni $400 million,ana miaka 45.


 5. Johnny Depp – Net worth: $400 million 
Tumemuona kwenye filamu ya Pirates of the Caribbean  na ni miongoni mwa waigizaji wenye vituko sana, anathamani ya dola milioni $400 akiwa na miaka 52.



 6. Bill Cosby – Net Worth: $400 million 
Anatuzo saba za grammy kwa filamu za vichekesho, Bill Cosby anathamani ya dola milioni $400 akiwa na umri wa miaka 73.


 7. Jack Nicholson – Net Worth: $390 million

Jack Nicolson ni mwigizaji mkongwe,anathamani ya dola milioni $390 akiwa na umri wa miaka 78.

8. Clint Eastwood – Net Worth: $375 million
Clint Eastwood ameigiza toka miaka ya 1950 ana thamani ya dola milioni $375 million akiwa na umri wa miaka 85.


9. Tom Hanks – Net worth: $350 million
Tumemuona kwenye filamu kama Apollo 13, Da Vinci Code, Catch Me If You Can, Cast Away, You’ve Got Mail, ana dola milioni $350 na umri wa miaka 59.


 10. Keanu Reeves – Net worth: $350 million. 
Anathamani ya dola milioni $350, ni staa wa filamu za Matrix Trilogy, ana umri wa miaka 50.