Sare dhidi ya Liverpool, inaifanya Man United isubiri hadi mwakani kucheza michuano ya Ulaya (+Video)
Usiku wa March 17 michuano ya UEFA Europa Ligi iliendelea kama kawaida kwa michezo nane kupigwa barani Ulaya, stori kubwa ilikuwa ni mchezo wa marudiano kati yaMan United dhidi ya Liverpool, ambapo safari hii Man United walikuwa nyumbani.
Mchezo wa kwanza Man United walikubali kichapo cha goli 2-0 kutoka kwa Liverpoolambao wao walikuwa katika uwanja wao wa Anfield, licha ya kuwa kuna usemi unasema mcheza kwao utunzwa, Man United imeshindwa kusonga mbele michuano hiyo.

Post a Comment