VideoMPYA: Uko tayari kwa Yemi Alade? kaachia hii ‘Ferrari’ itazame hapa

Baada ya kufanya vizuri katika Hit single ya ‘Na Gode’ Staa kutoka Nigeria Yemi Aladeametualika tena kuutazama mdundo wake mpya ‘Ferrari’ leo March 25 2016, ukishaitazama pia usiache kutoa comment yako umeionaje.
Post a Comment