Header Ads

ad

Nakukaribisha kuisikiliza hii single ‘Usiende mbali’ ya msanii mpya kutoka PKP Nedymusic


Baada ya Diamond Platnumz kuchukua headlines za kuwasaini wasanii kwenye  label yake  iitwayo WCB ‘Harmonize na Raymond ambao wawili hao wamekuwa wakifanya vizuri katika tasnia ya Bongo Fleva, sasa ni time ya msanii Ommy Dimpoz ambaye leo April 5, 2016 alimtambulisha msanii mpya kutoka kwenye label yake PKP aitwaeNedymusic.
Nedymusic anakuwa msanii wa kwanza katika label hiyo baada ya kusainiwa na Ommy Dimpoz huku akiwa ameachia single yake mpya iitwayo Usinde Mbali aliyomshirikishaOmmy Dimpoz.
Sasa leo ndio katambulishwa rasmi katika vituo mbalimbali vya redio na hapa anakukaribisha kuisikiliza hii single yake mpya iitwayo Usiende Mbali 
.
.
.
.
.
.
OMMY DIMPOZ 2333
.