Header Ads

ad

PICHA 19: Kutoka kwenye utoaji wa Tuzo za Vodacom Premier League 2016/2017

Usiku wa May 24, 2017 zimetolewa tuzo za Vodacom Tanzania Premier League kwa Wachezaji na timu za Tanzania ambapo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe ambaye alikabidhi zawadi ya Mchezaji Bora wa Ligi msimu wa 2016/2017.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe akitoa neno kwenye hafla hiyo
Mfungaji Bora wa VPL 2016/17 Simon Msuva
Katibu Mkuu wa Yanga Charles Boniface Mkwasa akipokea mfano wa Hundi ya zawadi ya mabingwa wa VPL 2016/17 Yanga SC
Wafungaji bora Abraham Mussa (wa pili kushoto) na Simon Msuva (wa kutoka kulia) wakiwa na tuzo zao
Mwamuzi Bora wa VPL 2016/17 Eli Sasi akipokea tuzo yake
Mlinda mlango Bora Aishi Manula (kulia) akipokea tuzo yake
Mchezaji Bora wa Kigeni Haruna Niyonzima (Yanga SC) akiwa na tuzo yake
Washindi wa tuzo mbalimbali za VPL 2016/17 wakiwa kwenye picha pamoja
Baba wa Mchzaji Bora wa VPL 2016/17 Mohamed Hussein ‘Zimbwe Jr’ akiwa na tuzo ya mchezaji huyo