PICHA 20: Kutoka kwenye msiba wa Ivan Don, Kampala Uganda, kwa hisani ya Millard Ayo

Kinachoendelea kwenye msiba wa mume wa zamani wa Zari the Boss Lady ambaye kwa sasa ni mpenzi wa mwimbaji staa wa Bongofleva Diamond Platnumz, Ivan alifariki wiki iliyopita Afrika Kusini akiwa kwenye matibabu ya kile kilichoelezwa kuwa ni shinikizo la damu.
Nimekukusanyia hizi picha 20 kutoka Kayunga Kampala, nyumbani kwa wazazi wa Ivan Semwanga ambako atazikwa.

Baba mzazi na dada yake Zari wakiongea na ripota wa AyoTV

Moja kati ya magari ya kifahari Hummer alilokuwa akilimiki Mfanyabiashara Ivan Don

Kaburi ambalo mwili wa Ivan Semwanga The Don utazikwa kijijini kwao Kayunga Kampala Uganda

Kilichoandikwa na moja ya magazeti ya Uganda kuhusu kifo na utajiri wa Ivan Don.




Post a Comment