HABARI ZA MASTAA KARIBU MBEYA! Mbunge Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ ametuonyesha picha za hoteli yake iliyokamilika (picha 7)

Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi maarufu kama ‘Sugu’ alianza kuijenga hoteli yake toka mwaka 2016 na sasa imekamilika na very soon kama uko Mbeya ama ukienda utakua miongoni mwa Wateja wapyawapya kabisa.
Ni hoteli ambayo mwanzoni wakati wa ujenzi alisema anaijenga kwa mkopo kutoka CRDB Bank na kwenye moja ya hizi picha yuko na Maboss kutoka CRDB wakikagua mradi.

Huu ni mchoro wa computer ambao ulionyesha muonekano wa hoteli yenyewe ujenzi ukikamilika





Father Mallya (Mwenye suti ya blue kwa mbele), Padri kutoka Parokia ya Ruanda Mbeya akinyunyiza Maji ya baraka kuzunguka maeneo ya Hotel Desderia wakati wa Ibada fupi ya binafsi

Joseph Mbilinyi alipotembelewa na Maboss wa CRDB BANK ambako alikopa fedha za ujenzi wa hii hoteli.



Post a Comment