TOP 10: Penati zilizowahi kuokolewa na wachezaji wa ndani kama makipa

Moja ya wakati mgumu katika soka ni pale timu inapokuwa imemaliza nafasi zote za kufanya mabadiliko halafu golikipa wao anaoneshwa kadi nyekundu, huwa ni kipindi kigumu lakini mara nyingi mchezaji wa ndani ndio huwa anachukua jukumu la kucheza kama golikipa.
Hapa nimekusogezea video ya penati 10 zilizowahi kudakwa na wachezaji wa ndani ambao walicheza kama magolikipa baada ya kipa wa timu yao kuoneshwa kadi nyekundu baada ya kucheza faulo.

Post a Comment