VideoMPYA: G Nako kashirikishwa na Nacha kwenye hii ‘Boss mpya’

Karibu Bongoflevani, kiwanda kinachotoa mpya kila siku na leo ni zamu ya Nacha aliyemshirikisha G Nako kwenye hii inaitwa ‘Boss mpya‘, ngoma ambayo sehemu ya mashairi yake imegusa hali ya sasa ya bongo…. ukishamaliza kuitazama usisahau kuandika comment yako umeipokeaje
Post a Comment