Header Ads

ad

VideoMPYA: Joh Makini katuletea hii aliyofanya na Davido

Rapper kutokea kundi la Weusi, Joh Makini amerudi tena kwenye TV zetu na video yake mpya iitwayo Kata Leta ambayo amemshirikisha Staa kutokea Nigeria aitwae Davidoukishaitazama video yenyewe hapa chini usiache kutuandikia comment yako umeipokeaje.