VideoMPYA: Wildad wa The Industry kaileta hii inaitwa ‘Aisha”

Label ya The Industry inaendelea kuziachia product zake na sasa ni zamu ya Wildadbaada ya kumuona Rosa Ree kwenye headlines za kutosha ambapo kipya cha leo ni hii video inaitwa ‘Aisha‘ , ukishaitazama usisahau kuandika na comment yako
Post a Comment