VIDEO: Ahadi ya mabilioni ya Rais Magufuli yametolewa tayari

Feb 8 2016 Wizara ya Fedha na Mipango imetoa jumla ya Bil 12.3 kwa ajili shughuli za mahakama , ikiwa ni utekelezwaji wa ahadi aliyoitoa Rais siku ya kilele cha maadhimisho ya siku ya Mahakama duniani.
Kwenye hii video hapa chini kuna full stori na makabidhiano yalivyokuwa
Post a Comment