Header Ads

ad

VideoMPYA: Dakika zako 4 zitumie kumtazama Young Killer na Juma Nature walichokifanya kwenye video mpya ya ‘popote kambi’

Tunae Young Killer kwenye hii post… tuliisikia tu single yake kwenye audio sana lakini good news ni kwamba katuletea hii video mpya featuring Juma Nature ‘popote kambi‘ na unaweza kutuachia comment pia ili Killer akipita hapa baadae ajue mashabiki wake wamemuandikia nini…