Header Ads

ad

VIDEO: Ronaldo kaenda hotelini kunywa chai… atamaliza kikombe? kuna dakika 4 za watu baada ya kumshtukia

Cristiano Ronaldo ni staa wa soka duniani…. uzito wa jina lake umewafikia hata wasio mashabiki wakubwa wa soka, tazama hii video hapa chini jinsi alivyokwenda kunywa chai kwenye Mgahawa wa kibiashara, mashabiki wakashtukia kwamba tuko kwenye breakfast na Ronaldo… itakuaje? tazama hii video hapa chini…