Header Ads

ad

Diamond ni msanii pekee wa Afrika Mashariki aliyetakwa kuwania tuzo za African Culture Image 2016.......


12912326_219328391766927_96257311_n
Imeanzisha tuzo ziitwazo African Culture Image (ACI) Awards ambazo ni kwaajili ya kuwatuza waafrika popote walipo duniani.
Diamond ni msanii pekee kutoka Afrika Mashariki aliyetajwa kuwania tuzo hizo zilizotawaliwa na Wanaijeria. Ametajwa kuwania kipengele cha Male Artist of the Year akichuana na wasanii kama Wizkid, Davido, KCEE, Patoranking, Olamide na wengine.
Tuzo hizo zitatolewa katikati ya mwaka huu huko Atlanta Georgia, Marekani. Bofya hapa kuanzia kumpigia kura Diamond