Simba mwingine aingia mtaani na kujeruhi Kenya
Leo March 18 2016 inaripotiwa tena Simba mmoja ametoroka kutoka Hifadhi ya Taifa ya Nairobi nchini Kenya, ameonekana mtaani na kujeruhi mtu mmoja asubuhi ya leo.
Polisi wa Kenya wamethibitisha tukio hilo na kusema mtu aliejeruhiwa alifikishwa Hospitali na hali yake inaendelea vizuri. Waangalizi wa Hifadhi wanaendelea na juhudi za kumkamata Mnyama huyo hatari.
Post a Comment